JPM: Kampeni tusiitumie kukibomoa chama, Zanzibar wagombea 33 atakayechaguliwa ni mmoja tu (+Video)

“Katika kipindi hiki cha kampeni tusikitumie kukibomoa chama, tukawe wavumilivu, sababu nimeanza kuiona hiyo dalili kwa wagombea 33 Zanzibar, lakini atakayechaguliwa ni mmoja tu na Mungu wetu wa mbinguni anamfahamu sisi tulikuwa 42”

Related Articles

Back to top button