Habari

Jubilee Insurance sasa kuwaangalia chama cha waendesha Baiskeli Tanzania

No CHAMA CHA WAENDESHA BAISKELI TANZANIA SASA NI ZAMU YAO LIVE FREE RACE

Siku ya leo Taasisi ya @jubileeinsurancetanzania imetangaza rasmi kuwashirikisha Chama cha waendesha Baiskeli Tanzania kwa kuwapeleka wanamichezo wa mchezo huo nchini Kenya kwenye mashindano ya Live free race ili kwenda kupeperusha bendera ya Tanzania nchini Kenya katika jiji la Nairobi.

 

Screenshot

Mashindando hayo yanatarajiwa kuanza mnamo tarehe 5/10/2025 huku Mataifa mbalimbali yakihusika katika mashindano hayo.

 

 

 

Timu ya Tanzania ya Waendesha Baiskeli tayari imeshawasili nchini Kenya katika jiji la Nairobi na wanamichezo wanne watakaoipeperusha Bendera ya Tanzania katika mashindano hayo nchini Kenya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents