Burudani

Juma Lokole – Mnashangaa Range ya Tsh Mil 85, nina ghorafa Kigamboni (Video)

Mtangazaji wa Wasafi Fm @jumalokole20 amefunguka kuwazungumzia wanaobeza gari yake mpya Range ambayo amedai ameinunua kwa tsh Mil. 85.

Amedai watu wangi wanadhani hawezi nunua gari kama hiyo wakati anajenga ghorofa yake Kigamboni Dar Es Salaam.

“Hii ni Lokole 1, mjengo wangu ukiisha Kigamboni utakuwa Lokole 2,” alisema Juma Lokole.

Aliongeza “Ghorofa yangu ipo Kigamboni jirani na Irene Uwoya na Kitale, nipo kwenye hatua za mwisho,”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents