Michezo

Jumamosi na Jumapili ni siku za kupiga pesa, ingia Meridianbet Uneti

Bado hujatengeneza mkeka hadi sasa? Basi wahi sasaWikendi hii mechi mbalimbali zitapigwa katika viwanjambalimbali ambapo wewe unaweza kujiweka kwenye nafasikubwa ya kushinda pesa kibao zinazotolewa naMeridianbet.

Laliga Santander itapamba moto ambapo kutakuw ana EL Classico kati ya Real Madrid dhidi ya Barcleona ambapo Barcabado ni vinara wa ligi huku Carlo na vijana wa Ancellottiwakishikilia nafasi ya pili.

Barca wana hamu na kubeba ndoo ya Laliga ambayohawajachukua kwa muda sasa huku Real wao wakiwa ndiomabingw awatetezi wa ligi hiyo. Wewe unadhani nani ataibukana ushindi kati yao? ODDS KUBWA unazipata hapaMeridianbet ingia na ucheze.

EPL itarindima wikendi hii, huku mechi mbambali kupigwakwenye viwanja kadha wa kadha, Tottenham Spurs ya Mourinhowatakuwa ugenini dhidi ya Southampton ambayo ndio vibondewa ligi huku mechi iliyopita wametoka kutoa sare Nafasi kubwaya ushindi amepewa Conte na vijana wake kwa ODDS ya 1.81 kwa 4.41 kwa Soton kushinda.

Chelsea uso kwa uso dhidi ya Everton huku mechi ya mwishokukutana The Blues aliondoka na ushindi, kesho unampa nafasigani kwenye nafasi ya kushinda?. Naye Kinara wa ligi Arsenal atakuwa nyumbani kumualika Crystal Palace ambayoimemtimua kocha wake hii leo.

Serie A nako kule kutatimua vumbi hatari sana ambapo vinarawa ligi hiyo Napoli ambao mpaka sasa wamepoteza michezomiwili tuu hadi sasa watakuwa ugenini kukuwasha dhidi yaTorino majira ya saa 11:00 jioni. Je Napoli kuendeleza ubabehapo kesho?

Juventus watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Inter milan yaInzaghi ambao tofauti ya pointi kati yao ni 12. Inter yupo nafasiya 2, wakati kwa Juve yeye yupo nafasi ya 7. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia na ucheze.

Lakini si ligi hizo tu, Kule Bundesliga mambo yatakuwa simambo ambapo vinara wa ligi hiyo FC Bayern Munich watakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Bayer Leverkusen ambao wanashikilia nafasi ya 9. Borrusia Dortmund waowatamenyana dhidi ya FC Cologne huku ushindi wa Dortmund utawafanye waongoze ligi huku wakiomba mabaya kwaMunich.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents