HabariSiasa

Jumanne Muliro apandishwa cheo na Rais Samia

Kupitia mitandao ya kijamii ya Jeshi la Polisi Tanzania wamepost kuwa:

 

”Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus M.Wambura anapenda kuwajulisha kuwa Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).
Amepandishwa cheo hicho kuanzia tarehe 20 Februari 2023.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents