Jumba la Victoria lilivyohamishwa kutoka eneo moja hadi jingine San Fransisco (+ Video)

Wakaazi wa San Fransisco walijipata wakitazama uhamisho wa jumbe kubwa la Victorian House lenye miaka 139 katika barabara za mji huo. Eneo la jumba hilo litajengwa jumba jingine lenye ghorofa nane . Uhamisho huo uligharimu $200,000 .

 

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/tv/CLobPxfhIQK/

Related Articles

Back to top button
Close