Michezo
Justin Kessy afunguka sehemu ilipofeli Simba

HIZI NDIO SABABU KUU YA SIMBA KUFELI MPAKA HIVI SASA
Mchambuzi wa mpira wa miguu Justin Kessy amefunguka kwa undani juu ya klabu ya Simba chanzo cha anguko lake, na wapi wanakoelekea kwa sasa.
Je, unakubaliana na sababu alizozitoa Justin Kessy kuhusu kufeli kwa klabu ya Simba??
https://youtu.be/H2JX9-nnbv4
Imeandaliwa na @witnessflavian24




