Michezo
Justin Kessy auvaa uongozi wa Simba kumrudisha Chama

JUSTIN KESSY AUVAA UONGOZI WA SIMBA KUMRUDISHA CHAMA
Mchambuzi wa mpira Justin Kessy amefunguka juu ya suala la kiungo Clatous Chama kurejea katika klabu ya Simba huku akiwashushia maneno mazito Viongozi wa Simba kwa kumrejesha Chama.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive.
Imeandaliwa na @witnessflavian24
https://youtu.be/H2JX9-nnbv4




