Bongo5 ExclusivesBurudaniMuziki

K2ga amwagia Sifa Harmonize (Video)

Xclusive: Katika mahojiano yake na @el_mando_tz @k2ga_tz ameweka wazi nia na lengo lake la kufanya kazi na @harmonize_tz

Ameongeza kuwa anavutiwa sana na @harmonize_tz kwa namna anavyopambana kwenye muziki mpaka kufika hapa alipo.

@k2ga_tz ameisahau nyimbo ya @harmonize_tz AIYOLA kwamba alimshirikisha @diamondplatnumz ??msikilize @k2ga_tz

Mahojiano yote ya @k2ga_tz na @el_mando_tz yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman @samirkakaa & @kashmill_99

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents