BurudaniDiamond PlatnumzMuziki
K2ga: Ausahau wimbo wa Harmonize Aiyola (Video)
Xclusive: Katika mahojiano yake na @el_mando_tz @k2ga_tz ameweka wazi nia na lengo lake la kufanya kazi na @harmonize_tz
Ameongeza kuwa anavutiwa sana na @harmonize_tz kwa namna anavyopambana kwenye muziki mpaka kufika hapa alipo.
@k2ga_tz ameisahau nyimbo ya @harmonize_tz AIYOLA kwamba alimshirikisha @diamondplatnumz ??msikilize @k2ga_tz
Mahojiano yote ya @k2ga_tz na @el_mando_tz yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive