Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMuziki

K2ga wa Kings music ana jambo lake leo, #RangiRangi

Staa wa muziki kutoka lebo ya @k2ga_tz ametangaza kuachia ngoma mpya mchana wa leo. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ametangaza kuachia ngoma ya #RangiRangi.

Kupitia Instagram yake ameandika kuwa: It’s Friday💫
.
Unaambiwa Huyu Ni @k2ga_tz 🦅 Right Winger Pale Mjengoni #KingsMusicRecords Balaa Lake Mnalijua🤗🏃🏃

You can now Subscribe To Youtube Channel “K2GA” 🎥2022🔥New Song On The Way!🚦


.

Related Articles

Back to top button