Bongo5 ExclusivesBurudani
K2ga:Alikiba ananikata Asilimia 50 Kings (Video)
Xclusive: Siku ya leo @el_mando_tz amefanya mahojiano na msanii kutoka lebo ya @kingsmusicrecords @k2ga_tz na kuzungumza naye mambo mengi sana.
Miongoni mwa mambo waliyoongea ni pamoja na namna muziki unavyomlipa K2ga chini ya lebo ya @officialalikiba
Kingine pia wameongelea asilimia anazochukua Kings Music pale anapotoa ngoma.
Mahojiano yote yapo Youtube ya Bongofive.
Cameraman by @samirkakaa & @kashmill_99