Habari
Kabudi ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Paramagamba Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria akichukua nafasi ya Pindi Chana aliyehamishwa na kupelekwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
Written by Janeth Jovin