Burudani
Kajala asisitiza Ndoa kwa Marioo na Paula (Video)

KAJALA ASISITIZA NDOA KWA MARIOO NA PAULA
Mama mzazi wa mpenzi wa Msanii Marioo maarufu kwa jina la Kajala leo amefunguka juu ya shauku yake kuona ndoa kati ya Marioo na Mwanaye Paula ikitokea.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5