Msanii wa Bongo Movie ambaye ni mama mzazi wa Paula, Kajala ameweka wazi kuwa kwenye mahusiano mapya. Ameongeza kuwa alimuomba Mungu apate mwanaume ambaye sio maarufu na kwa hilo amefanikiwa.