Burudani

Kajala na binti yake Paula kuja na reality show

Kupitia ukurasa wake wa Instagram @kajalafrida ameandika na kuutaarifu umma kuhusu ujio wa reality hiyo ambayo itamuhusisha yeye na binti yake @therealpaulahkajala #Mom and Daughter #LikeTwins ✅

Reality Show ambayo itakuwa inaonyesha maisha yao binafsi ingawa bado hajaweka wazi itakuwa inaruka Kupitia Tv gani (Kituo kipi) #Bongo5Updates

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents