Siku ya jana @kajalafrida alibahatika kupewa Ubalozi kwenye duka la Vitambaa la @rehemah0 linalopatikana maeneo ya Tandika, Dar Es Salaam, Kajala baada ya ubalozi huo aliongea mengi sana na wana habari kuhusu maisha yake.
Mbali ya hilo @kajalafrida amezungumzia miaka yake ambapo annasema hajadanganya chochote ana miaka 40 na pia sababu ya kupost picha zilizozua maneno mengi mtandaoni.