Habari

Kamanda wa Polisi aliyekaidi maagizo ya Waziri Kangi Lugola, Aingia kwenye 18 za Rais Magufuli (+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amekasilishwa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Polycarp Urio kwa kutotekeleza maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Kangi Lugola, ambaye aliagiza kuhamishwa kwa Maaskari 9, katika kituo cha Polisi cha Laela mkoani Rukwa.

Kufuatia tukio hilo, Rais Magufuli leo Oktoba 6, 2019 amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Sirro kwa njia simu kumsimamisha kazi Kamanda Urio, Ambaye pia alikuwa akihudumu kama Kamanda wa Polisi wilaya ya Sumbawanga.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents