Kampuni ya simu Infinix kutambulisha toleo la NOTE 11 Novemba 11

Kampuni ya simu Infinix inaonekana kutumia njia mbalimbali kufikisha ujumbe Kwa wateja wake.

Hivi punde Infinix imeonekana kuweka post kupitia kurasa ya @infinixmobiletz zinazoashiria ujio wa Infinix NOTE 11 na Infinix NOTE 11 pro zikiwa na sifa hizi AMOLED DISPLAY 6.7 fhd+ na Gaming processor Helio G96.

Muitikio ukoje? Muitikio unaonekana ni mkubwa kiasi ya kwamba nimehamasika kuwafikishia wapenzi wa tech habari hii njema.

Inasadikika japo kuwa ni simu za kwanza kutoka toleo la NOTE kuwa na sifa za kipekee lakini huenda ikawa na bei rafiki yani kutotofautiana pakubwa na bei ya pre-order http://surl.li/apwvq

Baadhi ya sifa nyengine za simu hizi bado kuwekwa wazi lakini kupitia mtandaoni Infinix NOTE 11 inaonekana kuwa na umbo jemba na ubora wa kioo cha Vivid AMOLED chenye urefu wa inch 6.7 lakini Pia kuhusu Infinix NOTE 11 pro picha mitandaoni zinaashiria speed ikiwa na maana Infinix NOTE 11 pro inaweza kufanya kile komputa inafanya kupitia processor yake ya G96 pamoja GB 8 ya Ram na refresh rate ya 120.

Simu hizi zinakuja na ofay a GB96 za internet kutoka Tigo kwa mengi zaidi tembelea https://www.infinixmobility.com/

Related Articles

Back to top button