Kanye West kugombea Urais Marekani mwezi Novemba 2020

Kanye West kugombea Urais Marekani mwezi Novemba 2020

Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani Kanye Omari West maarufu kama Kanye West ametangaza nia yake ya kuingia katika kinyang’anyiro cha kuwania kiti cha Urais wa taifa hilo tajiri duniani.

Kanye West shows United States President Donald Trump a photograph of a hydrogen plane during a meeting at the White House in 2018 [File: Evan Vucci/AP]

Kanye West akimuonyesha picha Rais wa Marekani Donald Trump ilipokutana naye katika Ikulu ya White House mwaka 2018 

Kanye West ameonyesha nia hiyo ya kugombea Urais wa Marekani katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 3 Novemba siku ya Jumanne mwaka huu 2020.

Yeezy, amesema sasa lazima watambue ahadi na ndoto za Wamarekani zitatimia kwa kumuanini Mungu, kuunganisha maono yao pamoja na kuijenga kesho iliyo bora.

Imeandikwa na Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button