Habari

Kapu la Wana laendelea kumwaga zawadi (Picha)

Afisa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweries, Emila Tom Machuve (kulia) akizungumza na mmoja wawashindi wa promosheni ya bia ya Pilsner ijulikanayo kama‘Kapu la Wana’ wakati wa droo ya tatu ya promosheni hiyoiliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mwakilishikutoka bodi ya michezo ya kubahatisha ya Tanzania, Salim Mgufi akisimamia mchakato huo. Kwenye droo hiyo, walipatikana washindi saba kutoka kanda ya Ziwa, Kusini naKaskazini ambapo promosheni ya Kapu la Wana inafanyika.

 

Kati ya washindi hao, watatu walijishindia simu janja, wengine watatu walijishindia televisheni za kisasa na mmoja alijishindia pikipiki. Washindi hao wanatarajiwa kukabidhiwa zawadi zao tarehe 18 mwezi huu. Promosheni ya Kapu la Wana ilizinduliwa tarehe 02 mwezi wa pili. Droo inayofuata itakuwa ya mwisho ambapo zawadi kubwa ya gari itapatikana. Kati ya washindi hao, watatu walijishindia simu janja, wengine watatu walijishindia televisheni za kisasa na mmojaalijishindia pikipiki. Washindi hao wanatarajiwa kukabidhiwazawadi zao tarehe 18 mwezi huu. Promosheni ya Kapu la Wana ilizinduliwa tarehe 02 mwezi wa pili. Droo inayofuataitakuwa ya mwisho ambapo zawadi kubwa ya gariitapatikana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents