Siasa

Katibu Mkuu TUCTA, Heri Mkunda aomba kuongezewa mishahara

Katibu Mkuu wa Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi TUCTA, Heri Mkunda amesema licha ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzitekeleza hoja mbalimbali za wafanyakazi ikiwemo punguzo la makato ya kodi, kupandisha madaraja ,bado Tucta inapendekeza kuongezewa mishahara walau shilingi milioni Moja na elfu kumi.

Ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani (Mei mosi) yanayofanyika kitaifa jijini Dodoma .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents