Michezo
Kauli ya Ahmed Ally iliyowaduwaza Waandishi leo hii hapa (Video)

NI KWELI SIMBA HAJAWAHI KUFUNGWA MARA MBILI NA TIMU MOJA CAF??
Meneja wa Habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally, kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya Stade de Malien ya Mali amefunguka kuwa Klabu ya Simba haijawahi kufungwa Mara mbili kwenye msimu mmoja na timu moja ndani ya michuano ya CAF.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive
Imeandaliwa na @witnessflavian24




