Michezo

Kauli ya Manara baada ya Mo Dewji kutoa bilioni 20 Simba

Kupitia maelezo yake aliyoweka kwenye mtandano wa Instagram Haji Manara ameandika kuwa “Nikisoma baadhi ya Comments zenu toka jana mnauliza Bughatti Mbona husemi kitu kuhusu billioni 20, ndugu zangu kama kuna Muumini namba moja aliyeshiriki kuwashawishi wanasimba wakubali juu ya muundo huu mpya ni mimi

Nilizodolewa sana, nikatusiwa sana na nikagombana na wengi kuhusu uwekezaji huu, iweje nisiunge mkono jambo lenye maslahi kwa Simba na mpira wetu kwa ujumla

Na niwaambie jana ni siku kubwa kwangu kwa sababu nililotaka na kulipigania limekuwa, nitaunga mkono kila jitihada za kuifanya Simba iwe kubwa zaidi na zaidi na Insha’Allah wiki hii nitaongea nanyi kuwashukuru

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents