Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Kauli ya Polisi kuhusu tukio la Kizz Daniel, Ni kweli tumemhoji msanii yule

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro ameeleza mwanzo hadi mwisho wa hatua za Jeshi la Polisi katika sakata la Msanii Kizz Daniel kugoma kufanya performance kwenye tamasha la #SummerAmplified.

Kamanda Muliro ameieleza #XXLyaCloudsFM Jeshi la Polisi lipo katika harakati za kutafuta haki ya Waandaaji wa Tamasha na Wapenzi wa Burudani ambao walilipa pesa zao katika tamasha hilo, ikiwa ni katika hali ya kutumia sheria zaidi dhidi ya Kizz Daniel. •

Related Articles

Back to top button