Burudani

Kayumba kusainiwa King Music? (Video)

 

Weekend hii katika show ya @marioo_tz kulikuwa na matukio mengi ya kiburudani, moja kati ya gumzo lingine ni jinsi Alikiba alivyoingia na wasanii wa lebo yake huku wakiwa na @kayumbaasosie .

Taarifa zinadai muimbaji huyo na mtunzi mzuri wa nyimbo za mahaba anahusishwa sana na lebo hiyo baada ya kuwa karibu zaidi ya Alikiba ambaye ni Rais wa lebo hiyo.

Una maoni gani ikitokea msanii huyo akisainiwa King Music? .

Written by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents