HabariMichezo

Kaze atoboa siri ya Unbeaten Yanga SC (+Video)

Kocha wa Klabu ya Yanga Cedric Kaze amefunguka siri ya mafanikio ya timu hiyo kutopoteza mchezo wowote ‘Unbeaten’ kwenye jumla ya mechi 48 mpaka hivi sasa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kaze ametuibia siri hiyo baada ya kuulizwa swali na mwandishi wa Bongo 5 @fumo255 juu ya siri ya mafanikio ya timu hiyo ambayo yanazidi kuandika historia katika soka la Bongo.

Full Video Ingia YouTube Bongo

Written and edited by @fumo255

Related Articles

Back to top button