Kufuatia sakata la BAR kufungiwa kwa siku 14 kutokana na kelele za muziki zinazopigwa katika maeneo hayo na NEMC, Mwanaharakati wa Mazingira azungumza haya.
Akiongea na wanna habari Mwanaharakati huyo aliyejitambbulisha kwa jina la Philip Wangwe ameeleza kuwa NEMC walivyofanya wapo sahihi kabisa kwani Kelele za BAR ni uharibifu wa mazingira.
Ameongeza kuwa kupiga muziki BAR kuna vipimo maalum ambavyo Serikali hutoa na inadibi vizingatiwe.
Wangwe ameongeza kuwa kuna namna nyingi ya kupunguza kelele za BAR mfano kuvaa headphone masikioni kama alivyofanya Kalito.