Michezo
Kengold watia aibu Ligi Kuu

Updates 👇
➡️ Wachezaji wa Kengold Fc 🇹🇿 wametumiwa nauli na Uongozi wa Klabu hiyo ili wafike Tabora kwaajili ya mechi ya NBC PL 🇹🇿 dhidi ya Simba Juni 18
✅ Kila mchezaji atasafiri kivyake na wataanza kuwasili Tabora kesho Jumatatu kwaajili ya mechi ya Jumatano