Fahamu

Kenya na Tanzania zaongoza katika ubunifu kusini mwa jangwa la sahara

Nchi za Kenyana Tanzania zinashikilia nafasi za pili na tatu mtawalia katika ubunifu kwa mujibu wautafiti uliofanywa chini ya Global innovation index. AfrikaKusini ndio inayoongoza katika kanda hiyo.

. Duniani koteKenya inashikilia nafasi ya 85 ilhali Tanzania ni ya 90 na kuzifanya nchi hizo za Afrika mashariki kuwa katika orodha ya 100 bora duniani kwa ubunifu .

Marekani inaongoza katika viashiria kadhaa muhimu vya uvumbuzi.

Hong Kong (China), Israeli na Singapore zinafuata kwa chumi za juu ulimwenguni zinazoongoza katika viashiria muhimu vya uvumbuzi.

Mwaka huu, Marekani inachukua uongozi kamili katika suala hili;kushika nafasi ya kwanza katika viashiria 13 kati ya 81 vilivyotumika,

pamoja na metriki kama R & D ya ushirika wa Ulimwenguni,wawekezaji, mikataba ya mitaji iliyopatikana, ubora wa vyuo vikuu vyake, ubora na athari za kisayansi

machapisho (H-index), idadi ya hati miliki kwa asili,na ushirikiano kupitia njia za kilektroniki na mitandaoni .

Orodha hiyo ya kila mwaka hutolewa na Shirika la Mali Miliki Ulimwenguni (WIPO) na huangazia viasharia mbali mbali vinavyofanikisha ustawi wa sekta mbali mbali zinazofanikisha uwezekani,ustawi wa leba,uboreshaji wa hali ya maisha na urahisi wa kufanya biashara na kazi .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents