FahamuHabari

Kenya ya 3 Duanini matumizi ya ChartGPT

Tanzania namba 2 Afrika Mashariki

Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, Kenya imeshika nafasi ya tatu duniani katika matumizi ya ChatGPT ikitanguliwa tu na Marekani 🇺🇸 na India 🇮🇳.

Sababu kubwa zinazopelekea Kenya kuwa juu:
✅ Vijana wengi ni tech-savvy na wabunifu
✅ Wakenya wanaongoza Afrika kwenye freelancing na remote jobs
✅ Intaneti ya kasi na smartphone ni rahisi kupatikana
✅ Elimu na uelewa wa digital tools uko juu
✅ Watu wanaitumia kwa elimu, biashara, content creation & kazi za kila siku

Wakati mataifa mengine bado yanajiuliza “ChatGPT ni nini?”, Kenya tayari iko mbali…! 🔥

Kwa upande wa Afrika Mashariki Kenya Wanaongoza wakifuatiwa na Tanzania.

TAKWIMU AFRIKA MASHARIKI.

1. Kenya 🇰🇪Kiongozi Afrika Mashariki
Tech-savvy, freelancers, elimu ya juu

2. Tanzania 🇹🇿Inapanda kwa kasi
Uelewa unaongezeka, lakini bado chini ya Kenya

3. Uganda 🇺🇬 Kati ya Kenya na Tanzania
Matumizi ya kawaida, hasa kwa elimu

4. Rwanda🇷🇼 Ndogo lakini ya kisera
Serikali inahamasisha A.I lakini bado midogo.

NB: Kwa wasiojua ChatGPT ni nini:- Hii ni programu ya akili bandia (AI) iliyotengenezwa na kampuni ya OpenAI, ambayo inaweza kuongea, kujibu maswali, kusaidia kuandika, kufundisha, na kuelezea mambo mbalimbali kwa lugha rahisi.

Imeandikwa na @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents