Kesi ya AstraZeneca na Umoja wa Ulaya 

Kesi ya Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya dhidi ya watengenezaji wa chanjo ya Astrazeneca kutoka Uingereza na Sweden imeanza kusikilizwa katika mahakama moja mjini Brussels siku ya Jumatano.

Halmashauri hiyo iliishtaki kampuni hiyo ikiituhumu kwa kushindwa kutimiza wajibu wake wa kimkataba wa kuwasilisha Chanjo za Covid-19 kwa wakati na kwa kutokuwa na mpango wa kutegemewa wa kuwasilisha chanjo hizo kwa wakati.

EU demands immediate access to UK-made vaccines in AstraZeneca legal battle  | Reuters

Kulingana na Halmashauri hiyo ya Umoja wa Ulaya kesi hiyo ambayo vikao vyake viko wazi kwa umma, itajumuisha vikao viwili na itasikilizwa kama kesi ya dharura hiyo ikiwa na maana kwamba inaweza kukamilika katika kipindi cha wiki kadhaa.

Source Deutsche Welle (DW)

Related Articles

Back to top button