Michezo
Kevoo wa Yanga afunguka mazito, kapombe kuwekwa CAF

Shabiki wa Yanga ajulikanae kwa jina la Kevoo amefunguka ya moyoni juu ya Mchezaji wa klabu ya Simba Shomari Kapombe kuwepo kwenye tuzo za CAF, pia emetolea ufafanuzi takwimu za simba msimu uliopita kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika.

Full interview ipo You Tube ya Bongo Five
🎤@witnessflavian24
🎥 @johnbosco_mbanga






