Khadija Kopa awakumbusha wasanii fainali uzeeni

Msanii wa muziki Khadija Kopa amelamba dili la ubalozi wa Jatu ambapo amewataka watanzania pamoja na wasanii kuwa na tabia ya kujiwekea akipa kwa kuwekeza pesa zao kwa kununua hisa.

https://www.instagram.com/tv/CP8b1SwB_nM/?utm_medium=copy_link

Muimbaji huyo amesema wasanii wengi huanza kuona maisha magumu pale wanapoachana na muziki kutokana na kushindwa kuweza kufanya shughuli zao kama awali ambapo amedai maisha yao huwa mabaya kutokana na kushindwa kujiwekea akiba.

Written and edited by @yasiningitu @abbrah255

Cc @mrishompoto @jatu_plc

Related Articles

Back to top button