Mahojiano

Khadija Kopa: Wasanii wa Zanzibar tumeandaa kikao chetu tuweze kusaidiana wenyewe, wadogo nyimbo zao zichezwe bara (+ Video)

Mkongwe huyo wa Taarabu pia amezitupia lawama media za Tanzania bara kuacha kucheza nyimbo za wasanii wa Zanzibar haliyakuwa wasanii wa bara wanachezwa Zanzibar.

Kuhusu wasanii kutengwa amesema wameanda kikao chao aqkishirikiana na Zuchu na baadhi ya wasanii ambacho kitahusu kuwasapoti wasanii wachanga wa Zanzibar nyimbo zao kuchezwa Tanzania bara.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents