HabariMichezo

Khalid Aucho, Okwi kuikabili Taifa Stars

Kiungo wa Yanga SC, Khalid Aucho na aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Owki ni miongo mwa wachezaji 30 walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Uganda kujiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania kuwania kufuzu AFCON 2023.

Kocha wa Uganda Cranes, Milutin Sredojevic ametaja kikosi hiko kitakacho ingia kambini wiki ijayo kujiandaa na majirani zao timu ya Taifa Stars mchezo utakaopigwa, Suez Canal Authority Ijumaa ya Machi 24, 2023.

Imeandikwa na @fumo255

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents