Burudani
Khalid Chokoraa Arudisha kwa wenye Uhitaji,amlilia Grace Mapunda
Msanii wa muziki wa Dance nchini (Twanga pepeta) #KhalidChokoraa anasema amemaliza tofauti yake na mke wake #Monica
Ameongea hayo wakati walipoamua kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mke wake #Monica kwa kula pamoja chakula na watoto yatima Kinondoni jijini Dar es Salaam.