Michezo
Khomeiny Aboubakar Khomeiny atua Jangwani
CONFIRMED: Mabingwa wa nchi, Yanga wamethibitisha kunasa saini ya Kipa Khomeiny Aboubakar Khomeiny rasmi akitokea lhefu FC.
Kipa huyo mwenye umri wa miaka 25, anakwenda kuungana na Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery katika kulinda lango la klabu namba 16 kwa Ubora Afrika.