Michezo
Kibu arudi Mzigoni

Edwin Balua , Mzamiru Yasin na Chamou Karabou hawajasafiri na Simba Sc kuelekea Ruangwa kwenye mechi yao ijayo ya Ligi Kuu ya Nbc dhidi ya Namungo. No injuries, it’s all about Coach Decisions Kibu is ready to play