Michezo
Kibu Denis tayari katua Tz

Leo saa 3 usiku kwenye tunazo taarifa za mshambuliaji wa Klabu ya @simbasc Kibu Denis Prosper kurejea nchni baada ya dili lake kukwama nchini Norway kwenye majaribio na klabu inayoshiriki ligi daraja la kwanza Kristiansund BK.
cc:Hans Raphael