HabariMichezo

Kibwana Shomari, Jonas Mkude kusambaza furaha na TECNO (+Video)

Kampuni ya simu za mkononi ya @tecnomobiletanzania imekuja na Promosheni ya Sambaza Furaha ambapo kupitia msimu huu wa Kombe la Dunia wanakuambia kwao Kila Mechi Ina Mshindi.

Ukishiriki kampeni hiyo utaweza kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo Simu za CAMON 19. Promosheni hiyo imeanza leo Desemba 1 hadi 23 mwaka huu wa 2022.

Kufahamu kwa kina wafuate kwenye mitandao yao ya Kijamii ikiwemo instagram.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents