Burudani
Kijana mwenye uwezo wakubeba Kg 400, hajawahi kwenda GYM
“Napenda kuwaachanisha ugomvi, nimewaachanisha watu 50”
Kijana mwenye uwezo wakubeba Kg 400, hajawahi kwenda GYM “Napenda kuachanisha ugomvi, nimewaachanisha watu 50”
Kijana Stanlay Kabobo (29) mwenye nguvu za ajabu ambaye nguvu zake azitumia kunyanyua vitu vizito kwaajili ya kuwafurahisha watu na kujipatia kipato amefunguka kuhusu kilichopo ndani yake.
Kabobo amedai alijigundua tu anaweza kunyanyua vitu vizito bila kufanya mazoezi yoyote.
Amedai pia anapenda kuwaachanisha watu wakaopigana ambapo mpaka sasa amewaachanisha zaidi ya watu 50 ambao walikuwa wanapigana.
“Sipendi ugomvi, nikuona watu wanapigana lazima niachanishe hata wakiwa wana nguvu kiasi gani,” alisema Stanlay
Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5
Written by @yasiningitu
Edited by @same