Habari

Kijana wa miaka 23 anusurika kuchinjwa Nigeria

Kamanda wa jimbo la Kano nchini Nigeria anasema wamemuokoa kijana ambaye nusura auliwe kwa kuchinjwa.

Tukio hilo lilifanyika kwenye nyumba moja iliyopo katika eneo la Dambatta katika jimbo la ​​Kano.

Mkuu wa polisi wa eneo hilo Abdullahi Kiyawa ameiambia BBC kuwa walifahamishwa kuhusu tukio hilo, baada ya kusikia malalamiko kutoka kwa kijana mdogo aliyekuwa amekatwa kwenye shingo lake .

Alisema mara moja walimkimbiza hospitalini.

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 23 aliiambia BBC kwamba alikutana na mshukiwa kwenye Facebook.

Related Articles

Back to top button