Michezo
Kikosi cha TP Mazembe chatua Dar Es Salaam kuikabili Simba (+ Video)
Kikosi cha TP Mazembe tayari kimetua hapa katika uwanja wa Julius Kambarage Nyerere wakitoka nchini DR Congo kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Simba.