Michezo
Kikosi cha Yanga kilivyoipoti Uwanja wa ndege hiki hapa

Klabu ya Yanga katika kuanza safari kuelekea Mkoani Kigoma kwenda kucheza na Klabu ya Mashujaa baadhi ya Wachezaji wameshawasili katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere ili kuanza safari hiyo.
Yanga wanatarajia kucheza mchezo dhidi ya Mashujaa siku ya Jumapili tarehe 23 majira ya saa 10:00 jioni.

Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga





