Burudani

Kikwete ampa neno Marioo (Video)

“Una experience kuwa ya mapenzi lakini kwa muda mfupi, lazima uwe hodari sana”

Rais mstaafu Kikwete amesema amefurahi kumsikia Marioo ana experience kubwa ya mapenzi kwa muda mfupi hali iliyomfanya kuwa hodari katika kuandika nyimbo za namna hizo.

Kikwete amesema tayari muimbaji huyo ameshatoboa hivyo aongeze juhudi na asilewe sifa huku akimtaka kushirikiana na wasanii waliomtangulia ili afike mbali zaidi.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu

muda mfupi, lazima uwe hodari sana”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents