Burudani

Kikwete amshukuru Alikiba “Kitambi kimebaki cha kufutia simu” (Video)

 

Rais mstaafu Jakaya Kikwete alimshukuru Msanii wa muziki Alikiba kwa kumpatia trainer wake ambaye amesaidia kupunguza mwili wake na kujiweka katika hali nzuri ya kiafya.

Kikwete alikuwa mgeni mualikwa kwenye show ya Marioo ambayo ilifanyika Mlimani City Dar Es Salaam weekend hii na kuhudhuriwa na watu mashuhuri kutoka katika nyanja mbalimbali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents