Burudani

Kim Kayndo IT wa Diamond bosi wa AudioMack Tanzania

Awataka wasanii kumtafute wapate jinsi za kunufanika muziki wao

Muziki wa Tanzania inaendelea kukuwa kila siku ambayo Jumamosi @audiomackafrica imesema Tanzania ni namba 3 kwa matumizi makubwa ya mtandao huo wa muziki Afrika.

Nafasi za juu inashikwa na Nigeria pamoja na Ghana.

Bodi wa AudioMack Tanzania @kimkayndo ambaye pia ni IT wa Diamond, amewataka wasanii kuchangamkia fursa kuupeleka muziki wao Kimataifa kirahisi kupitia mtandao huo mkubwa duniani.

Kuangalia matukio yote tembelea YouTube ya BongoFive

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents