Kimbunga Tauktae chapiga India na kufanya uharibifu mkubwa

Watu wasiopungua nane wamepoteza maisha huku maeneo makubwa yakifurika maji, nyumba kuporomoka na miundombinu ya umeme kuharibiwa baada ya kimbunga kikali kuipiga pwani ya magharibi mwa India.

Cyclone Tauktae Set to Intensify Into Severe Storm, Hit Parts of India and  Pakistan - Sputnik International

Kimbunga hicho kilichopewa jina Tauktae kilijiimairisha kwenye bahari ya Arabia na sasa kinaelekea kwenye majimbo ya kaskazini ya Kerala na Karnataka na kinatarajiwa pia kulifkia jimbo la kaskazini magharibi la Goa.

Cyclone Tauktae Live Updates Kerala Goa Gujarat Mumbai heavy rains winds  very severe cyclonic storm latest news | India News – India TV

Watabiri wa hali ya hewa wameonya uwezekano wa kutokea madhara makubwa kwenye pwani ya jimbo la Gujarat wakati kimbunga hicho kitakapowasili kikiwa na upepo unaovuma kwa kasi ya kilometa 175 kwa saa. Usambazaji umeme katika jimbo la Goa umeathirika na serikali imesema itachukua muda mrefu kurejesha huduma hiyo.

Cyclone Tauktae: Indian states put on alert ahead of storm | Weather News |  Al Jazeera

Related Articles

Back to top button