Muziki

Kings Music waachia wimbo wa pamoja La La La

Leo ya muziki ya @kingsmusicrecords iliyopo chini ya @officialalikiba imeachia ngoma ya pamoja ya LA LA LA

Kwenye ngoma wameimba wasanii wote watano ambao ni @officialalikiba @tommyflavour @k2ga_tz @officialabdukibaa na @vanillahmusic

Unawapa asilimia ngapi kwa goma hili?? Linapatikana kwenye akaunti ya YouTube ya @officialalikiba

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents